- Lyrics
- Album list
Avril
-
No Stress
Pacho Baiby, Oh Yeah, Yeah, Yeah. Cedo on the beat (Avril) Uh 1, Uh 1, Uh 1, 2, 3, go!
Tulijuana for long, Na nililia kila siku nikijiambia kwamba nampenda, My self esteem was buried to the ground, Lakini tonight enough is enough (No more)
Kuchoshwa na maswali ninayo, Kutarajia mapenzi yako (No more) Kuchoshwa na maswali ninayo ooh Sing, I'm going out (yeah)
Me, ain't got no stress, (No stress) In my life, And that's why Na-rusha mikono juu uu Na-katika tu uu Sina stress, sina hoja akilini
Me, ain't got no (No stress) Stress in my life, And that's why Na-rusha mikono juu uu Na-katika tu uu Sina stress, sina hoja akilini
two naambiwa Coz me si mvulana I ain't supposed to sing like this, So, one shot, two shot (oh) Am feeling tipsy (hahaha) So sing with me (No more)
Kuchoshwa na maswali ninayo, Kutarajia mapenzi yako (No more), Kuchoshwa na maswali ninayo ooh, Sing, I'm going out (yeah)
Me, ain't got no stress, (No stress) In my life, And that's why Na-rusha mikono juu uu Na-katika tu uu Sina stress, sina hoja akilini Find more lyrics at ※ Mojim.com
Me, ain't got no (No stress) Stress in my life, And that's why Na-rusha mikono juu uu Na-katika tu uu Sina stress, sina hoja akilini
{AY} Siendekezi stress leo me naziweka mbali, Tabasamu kila time, basi densi nami, Shida zipo (shida zipo), na wala haziishi, Wacha nijiachie ukitaka cheer na me, Maisha inabana, tushapambana Bado mipango inakwama (yeah), Nyuma sitaki tazama Sasa nasonga ah mbele tu sana (yeah), Lakini muda huu (yeah), Wa kula bata tu (yeah), Weka mikono yako juu, Kisha imba nami,
{Avril} Me, ain't got no, (No stress) In my life, And that's why Na-rusha mikono juu uu Na-katika tu uu Sina stress, sina hoja akilini
Me, ain't got no stress, (No stress) In my life, And that's why Na-rusha mikono juu uu Na-katika tu uu Sina stress, sina hoja akilini
Me, ain't got no, (No stress) In my life, And that's why Na-rusha mikono juu uu Na-katika tu uu
... No Stress!
-
|